TASA Yaangazia Umuhimu Wa majukwaa Ya Kidigitali Katika Kupanua wigo Kiutendaji Kwa Upande wa NGOs Tanzania.
Tanzania Safety Alliance (TASA) inaendelea na mfululizo wa mafunzo ya kuimarisha uwezo wa kitaasisi, ambapo leo tumeelekeza nguvu katika mada ya kuonekana kwa taasisi kidijitali (social media visibility). Kama NGO Mtwara inayokua, TASA imedhamiria kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kuongeza uwazi na utendaji. Kuonekana Kidijitali na Uwajibikaji Mafunzo ya leo yamelenga







