• Home
  • About
  • ProjectsVisit here to see our organizational projects
  • News and Blog
  • Contact Us
  • TASA Yatambulisha Mradi wa Kuwawezesha Vijana na wanawake kuwa Wastahimilivu Kwa Mabadiliko ya Tabia Nchi na Usawa wa Kijinsia Wilayani Newala

    TASA Yatambulisha Mradi wa Kuwawezesha Vijana na wanawake kuwa Wastahimilivu Kwa Mabadiliko ya Tabia Nchi na Usawa wa Kijinsia Wilayani Newala

    March 6, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    NEWALA, MTWARA – Katika muendelezo wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Tanzania Safety Alliance (TASA) imefanya mkutano wa utambulisho (Inception Meeting) na wadau wa serikali pamoja na viongozi wa dini katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Mkutano huu umelenga kutambulisha rasmi mradi wa “Kuwawezesha Vijana na Wanawake kuwa Wastahimilivu dhidi ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Read More

  • Viongozi wa Serikali na Dini Nanguruwe Wapokea kwa Kishindo Program ya VIJANA@rtWORK kutoka TASA

    Viongozi wa Serikali na Dini Nanguruwe Wapokea kwa Kishindo Program ya VIJANA@rtWORK kutoka TASA

    March 2, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Tanzania Safety Alliance (TASA) imepiga hatua nyingine muhimu katika kuwafikia vijana kwa kufanya mkutano wa utambulisho wa mradi (Inception Meeting) katika Kata ya Nanguruwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini. Mkutano huu ulihusisha wadau wa serikali na viongozi wa dini kwa lengo la kuelezea dhima ya mradi na kuimarisha ushirikiano wa ngazi ya msingi. Sanaa

    Read More

  • TASA Yaangazia Umuhimu Wa majukwaa Ya Kidigitali Katika Kupanua wigo Kiutendaji Kwa Upande wa NGOs Tanzania.

    TASA Yaangazia Umuhimu Wa majukwaa Ya Kidigitali Katika Kupanua wigo Kiutendaji Kwa Upande wa NGOs Tanzania.

    February 27, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Tanzania Safety Alliance (TASA) inaendelea na mfululizo wa mafunzo ya kuimarisha uwezo wa kitaasisi, ambapo leo tumeelekeza nguvu katika mada ya kuonekana kwa taasisi kidijitali (social media visibility). Kama NGO Mtwara inayokua, TASA imedhamiria kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kuongeza uwazi na utendaji. Kuonekana Kidijitali na Uwajibikaji Mafunzo ya leo yamelenga

    Read More

  • TASA Yashiriki Kuchimba Msingi wa Kituo cha Afya Nalingu Katika Jitihada Za Kudumisha Amani na Maendeleo

    TASA Yashiriki Kuchimba Msingi wa Kituo cha Afya Nalingu Katika Jitihada Za Kudumisha Amani na Maendeleo

    February 23, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Timu ya TASA ikiwa pamoja na Wananchi wa Kata ya nalingu katika shughuli ya kijamii ya kuchimba msingi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Nalingu. Hatua hii ni sehemu ya mikakati ya kuimarisha huduma za kijamii huku ikichochea umoja na mshikamano miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Katika tukio hilo la kihistoria, TASA iliungana na

    Read More

  • TASA Yaimarisha Uandishi wa Maandiko Miradi na Usimamizi wa Ruzuku, Ikiwa ni Sehemu ya Pili Ya Utekelezaji wa OCD chini ya Vijana Plus Project

    TASA Yaimarisha Uandishi wa Maandiko Miradi na Usimamizi wa Ruzuku, Ikiwa ni Sehemu ya Pili Ya Utekelezaji wa OCD chini ya Vijana Plus Project

    February 17, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Katika muendelezo wa mafunzo ya kuimarisha uwezo wa kitaasisi, leo Tanzania Safety Alliance (TASA) imepiga hatua nyingine kubwa katika kuimarisha mifumo yake ya utendaji. Siku ya pili ya mfululizo huu imejikita katika mada mama ya uandishi wa maandiko mradi na utafutaji wa rasilimali, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya mradi wa Vijana Plus unaofadhiliwa na

    Read More

  • Rasmi: Tanzania Safety Alliance (TASA) Imeanza Mfululizo wa Mafunzo ya Kuimarisha Uwezo  wa Taasisi (OCD) Kupitia Programu ya Vijana Plus

    Rasmi: Tanzania Safety Alliance (TASA) Imeanza Mfululizo wa Mafunzo ya Kuimarisha Uwezo wa Taasisi (OCD) Kupitia Programu ya Vijana Plus

    February 16, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Shirika la Tanzania Safety Alliance (TASA) limeanza rasmi mfululizo wa mafunzo ya kuimarisha uwezo wa kitaasisi (Organizational Capacity Development) kwa lengo la kuboresha mifumo ya utendaji na uendelevu wa shirika. Mafunzo haya yanayowezeshwa na Save the Children kupitia programu ya Vijana Plus, ni sehemu ya mkakati endelevu wa kutoa miongozo ya kiufundi kwa washirika wa

    Read More

  • TASA Yashiriki Warsha ya Ujenzi wa Amani na Haki za Binadamu Dar es Salaam

    TASA Yashiriki Warsha ya Ujenzi wa Amani na Haki za Binadamu Dar es Salaam

    February 13, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    TASA imeshiriki kikamilifu katika warsha ya kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam ikilenga kuimarisha misingi ya ujenzi wa amani na uzingatiaji wa haki za binadamu nchini Tanzania. Warsha hii imewezeshwa kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa wadau wa maendeleo akiwemo CEFA, GNRC na European Union Tanzania (EU) ili kukuza usawa

    Read More

  • STRATEGIC ENGAGEMENT: TANZANIA SAFETY ALLIANCE (TASA) INTRODUCES VIJANA@rtWORK TO NYASA DISTRICT

    STRATEGIC ENGAGEMENT: TANZANIA SAFETY ALLIANCE (TASA) INTRODUCES VIJANA@rtWORK TO NYASA DISTRICT

    February 12, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Tanzania Safety Alliance (TASA), alongside our partners IPCA, has officially commenced the introductory phase of the VIJANA@rtWORK project within the Nyasa District Council. This mission serves as a critical entry point to establish institutional synergy with local authorities and align our environmental conservation strategies with the district’s unique ecological landscape. Supported by Culture and Development

    Read More

  • TASA Selected Among Top 10 Youth-Led Organizations for the VIJANA@rtWORK Project

    TASA Selected Among Top 10 Youth-Led Organizations for the VIJANA@rtWORK Project

    February 4, 2026

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    Read More

  • : Encouraging Bodabodas to Promote Peace During the General Election Period

    : Encouraging Bodabodas to Promote Peace During the General Election Period

    October 27, 2025

    Tasa Tanzania

    Uncategorized

    On October 25, 2025, a high-impact initiative by the Tanzania Safety Alliance (TASA), in partnership with Safari FM, focused on a critical group in Mtwara Municipal: the bodaboda (motorcycle taxi) riders. This event strategically addressed the need for stability during the upcoming general election. The campaign was built on two core principles: mass media education

    Read More

1 2
Next Page→

About TASA

TASA is a Non Governmental Organization committed to fostering safety society, free from violence. Guided by its vision of a safe and inclusive environment, the Alliance promotes safety standards through public education, stakeholder engagement, and advocacy for policy and legal reforms.

Quick Links

  • Home
  • About
  • ProjectsVisit here to see our organizational projects
  • News and Blog
  • Contact Us

Contact Info

Physical Address: Mtwara-Tanzania Mtwara MC, chuno street (Map is attached in About Us Page)

Phone: +255786388501
E-mail: [email protected]
Website: https://tanzaniasafetyalliance.org

© Copyright 2026 Tanzania Safety Alliance. All Rights Reserved

English
Swahili