Tanzania Safety Alliance (TASA) ni Nini?
TASA is a Non Government Organization (NGO) committed to fostering safety society, free from violence. Guided by its vision of a safe and inclusive environment, the Alliance promotes safety standards through public education, stakeholder engagement, and advocacy for policy and legal reforms.
Mikakati yake yenye athari kama vile Amani Yetu, Kesho Yetu, Tudumishe Amani Kupitia elimu, usafi wa fukwe, kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV), mipango ya usalama barabarani _inaonyesha kujitolea kwake katika kujenga mustakabali thabiti na wa amani kwa watanzania wote


Maono, Dira na Madili
Maono
The organization vision is to envisage a community broke free from violence cycle, living safe, improved socio-economic and peace space for all.
Mission
Maono Yetu ni kuwezesha watu na kuendeleza viwango vya usalama kupitia usambazaji wa taarifa za usalama
Maadili
Tunathamini Ushirikiano, Uadilifu, Usawa, na Utu wa kibinadamu, Ushirikiano, Uwajibikaji wa Kijamii, kazi ya pamoja , ubunifu na uvumbuzi .
TASA Tumejikita Katika Maeneo Yafuatayo

Eneo namba 1
Climate And Environmental Justice
Tanzania Safety Alliance (TASA) Tunafanya kazi ya kulinda rasilimali za asili na kuendeleza maisha endelevu kama msingi wa usalama. Tunashirikiana na Jamii katika shughuli mbalimbali zikiwemo; upandaji miti, Utunzaji taka na miradi mbalimbali ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo inaondoa hatari ya mazingira na kuchagiza uchumi endelevu. Kupitia utetezi na ushirikiano, tunahimiza uwajibikaji unaolinda jamii na sayari kwa vizazi vijavyo
Eneo namba 2
Peace Building And Conflict Resolution
Under This category, Tanzania Safety Alliance (TASA) fosters unity and conflict resolution at the community level through dialogue, mediation, and awareness campaigns. We train youth, women, and local leaders to become peace ambassadors who counter hate speeches, prevent violence, and promote tolerance
In addition Through education, advocacy, and community outreach, we raise awareness about justice, equality, and accountability. Our programs empower citizens to understand their rights, challenge discrimination, and speak out against abuse. By collaborating with local authorities and human rights defenders, we help build a Tanzania where freedom, dignity, and fairness are protected for all.

Child Protection and Gender Equality
Tanzania Safety Alliance (TASA) is deeply committed to creating a society where children and women live free from all forms of violence and discrimination. We actively work to combat Gender-Based Violence (GBV) by providing community education, supporting survivors, and advocating for equal rights and opportunities for all genders.
Our initiatives focus on dismantling harmful social norms and promoting gender equity as a fundamental pillar for sustainable community development



Waliofikiwa
Tunajivunia mchango wako
Safari yetu imerahisishwa saana kwa kupitia ushirikiano thabiti na uaminifu uliojengwa kati yetu.tunawashukuru wadau wetu na wanufaika wetu wote kwa kuwa sehemu ya dira na maono ya Tanzania Safety Alliance.
5,647+
Wanufaika waliofikiwa
16+
Wadau
Ungana Nasi
Paza sauti ! ungana na wanaharakati katika jukwaa letu.tazama matunda ya shughuri zetu.
