tudumishe amani kupitia mradi wa elimu

soma leo kudumisha amani ya kesho

t

muhtasari wa mradi

kuhusu mradi

The Tudumishe Amani Kupitia Elimu (Cherish Peace Through Education) project is a core initiative by TASA, implemented under the broader Kwapamoja Tudumishe Amani mpango unalenga kuitumia elimu kama nyenzo makini na yenye nguvu katika kuchochea mabadiliko ya kijamii kutatua migororo na kukuza na ku;lea maadili ya amani Tanzania

Walengwa ni kina nani

mpango huu muhimu unalenga katika wanafunzi wa shule za sekondari, walimu na viongozi katika manispaa ya mtwara katika kata ya madimba na ziwani. kwa kuanzisha klabu za kujenga amani, mradi huu unaiwezesha kwa vitendo jamii ya shule kwa kuwapatia ujuzi muhimu wa uongozi na utatuzi wa migogoro

kwanini mradi huu?

mradi huu ni mahususi katika kutatua changamoto endelevu mashuleni na katika jamii kama vile uonevu, ukatili wa kijinsia na ubaguzilengo lake ni kukuza utamaduni wa uvumilivu, kuheshimiana na mawasiliano yasiyo na vurugu, hivyo kuinua kizazi kipya cha mawakala wa amani.

Miradi mingine

Tanzania ya Kijani

Uhifadhi wa Mazingira

kuupitia mradi

Amani Yetu Maendeleo Yetu

Mradi Wa Kujenga Amani

Pitia Mradi

Sauti Moja Amani Yetu

Mradi wa Kujenga Amani

Pitia Mradi

Beach Cleanup

Utunzaji Wa Mazingira

Pitia Mradi

Hedhi Salama

Miradi Ya Kijinsia

Tazama Mradi

Youth In Decision

Mradi Wa Haki Za Binadamu

Pitia Mradi